Audio player
Audio file
MP335.5 MB
Mambo Yanayo Ruhusiwa Kwa Alie Funga Kuyafanya
SwahiliAudio
Mambo Yanayo Ruhusiwa Kwa Alie Funga Kuyafanya
Mada hii inazungumzia mambo yaliyo ruhusiwa kwa alie funga kuyafanya,kama kuamka na janaba,na kupiga mswaki,nayoote yasio funguza katika quraan na sunnah.
Contributors
AuthorsAbuu Bilal Athumani Bun Nouman
ReviewersAbubakari Shabani Rukonkwa
Material files
1 / 1